sw_tn/sng/04/03.md

20 lines
316 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke.
# kama uzi mwekendu
Haya maneno yanalinganisha rangi midomo ya mwanamke na uzi mwekundu.
# wapendeza
"ni mzuri"
# kama majani ya komamanga
Makomamanga yanateleza, ya duara, na yana rangi nyekundu.
# nyuma ya kitambaa chako
Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:1