# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke. # kama uzi mwekendu Haya maneno yanalinganisha rangi midomo ya mwanamke na uzi mwekundu. # wapendeza "ni mzuri" # kama majani ya komamanga Makomamanga yanateleza, ya duara, na yana rangi nyekundu. # nyuma ya kitambaa chako Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:1