sw_tn/sng/02/05.md

24 lines
492 B
Markdown

# Ni uishe
"Nirudishie uwezo wangu" au "Nipatie nguvu"
# Keki za mizabibu
"kwa kunilisha mikate iliyo tengenezwa na mizabibu iliyonata pamoja kama chapati" au "'kwa kunipa keki za mizabibu"
# Ni nuishe kwa mapera
"nifadhili kwa kunipa mapera" au "nisaidie kwa kunipa mapera"
# Kwakuwa nimedhohofika na mapenzi
"kwasababu mapenzi yangu yana nguvu sana hadi najiskia dhaifu."
# Mkono wa kushoto ... mkono wa kulia
"mkono wa kushoto ... mkono wa kulia"
# Wanikumbatia
"kunishikilia"