# Ni uishe "Nirudishie uwezo wangu" au "Nipatie nguvu" # Keki za mizabibu "kwa kunilisha mikate iliyo tengenezwa na mizabibu iliyonata pamoja kama chapati" au "'kwa kunipa keki za mizabibu" # Ni nuishe kwa mapera "nifadhili kwa kunipa mapera" au "nisaidie kwa kunipa mapera" # Kwakuwa nimedhohofika na mapenzi "kwasababu mapenzi yangu yana nguvu sana hadi najiskia dhaifu." # Mkono wa kushoto ... mkono wa kulia "mkono wa kushoto ... mkono wa kulia" # Wanikumbatia "kunishikilia"