sw_tn/sng/01/16.md

24 lines
462 B
Markdown

# Ona
Neno "Ona" hapa la ongeza msisitizo kwa kinacho fuata.
# mtanashati
"muonekano mzuri" au "mzuri" au "pendeza"
# Nguzo za nyumba yetu ni za matawi ya mierezi
Mwanamke anaeleza msitu kama ni nyumba yao. "Matawi ya mti wa mierezi ni kama nguzo za nyumba yetu.
# nguzo
mbao kubwa zinazo saidia nyumba yote
# na boriti zetu ni matawi ya miberoshi
"na matawi ya miberoshi ni kama boriti zetu
# boriti
vipande vya mbao vinavyo shikilia dari la nyumba