# Ona Neno "Ona" hapa la ongeza msisitizo kwa kinacho fuata. # mtanashati "muonekano mzuri" au "mzuri" au "pendeza" # Nguzo za nyumba yetu ni za matawi ya mierezi Mwanamke anaeleza msitu kama ni nyumba yao. "Matawi ya mti wa mierezi ni kama nguzo za nyumba yetu. # nguzo mbao kubwa zinazo saidia nyumba yote # na boriti zetu ni matawi ya miberoshi "na matawi ya miberoshi ni kama boriti zetu # boriti vipande vya mbao vinavyo shikilia dari la nyumba