sw_tn/sng/01/15.md

8 lines
190 B
Markdown

# Ona
Neno "Ona" hapa la ongeza msisitizo kwa kinacho fuata.
# macho yako ni kama ya hua
Hua ni ishara ya usafi, bila hatia, upole na upendo. "macho yako ni mapole na mazuri kama ya hua.