# Ona Neno "Ona" hapa la ongeza msisitizo kwa kinacho fuata. # macho yako ni kama ya hua Hua ni ishara ya usafi, bila hatia, upole na upendo. "macho yako ni mapole na mazuri kama ya hua.