sw_tn/sng/01/09.md

20 lines
332 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi wa mwanamke anaendelea kuzungumza
# mpenzi wangu
"ninaye mpenda"
# na farasi mzuri wakike miongoni mwa farasi wa magari ya Farao
Mpenzi ana mlinganisha mwanamke na farasi mzuri wa kike.
# magari ya farasi ya Farao
"Farasi wa Farao wanao vuta magari"
# yaliochanganywa na fedha
"na madoa ya fedha"