# Maelezo ya Jumla Mpenzi wa mwanamke anaendelea kuzungumza # mpenzi wangu "ninaye mpenda" # na farasi mzuri wakike miongoni mwa farasi wa magari ya Farao Mpenzi ana mlinganisha mwanamke na farasi mzuri wa kike. # magari ya farasi ya Farao "Farasi wa Farao wanao vuta magari" # yaliochanganywa na fedha "na madoa ya fedha"