sw_tn/rut/04/16.md

16 lines
272 B
Markdown

# Naomi akachukuwa mtoto
Hii ya husu Naomi kushikilia mtoto.
# akamueka kifuani
Hii sentensi ya upendo kwa mtoto
# mwana wa kiume amezaliwa kwa Naomi
Ilieleweka kwamba mtoto alikuwa mjukuu wa Naomi, sio mtoto wake wa kimwili
# baba wa Daudi
"mtoto wa mfalme Daudi"