# Naomi akachukuwa mtoto Hii ya husu Naomi kushikilia mtoto. # akamueka kifuani Hii sentensi ya upendo kwa mtoto # mwana wa kiume amezaliwa kwa Naomi Ilieleweka kwamba mtoto alikuwa mjukuu wa Naomi, sio mtoto wake wa kimwili # baba wa Daudi "mtoto wa mfalme Daudi"