sw_tn/rut/04/11.md

16 lines
335 B
Markdown

# watu waliyo kuwa langoni
"watu waliyo kuwa wanakutana pamoja langoni"
# jenga nyumba ya Israeli
"kuzaa watoto wengi waliyo kuwa taifa la Israeli"
# kama Raheli na Lea
Hawa walkuwa wake wawili wa Yakobo, ambaye jina lake lilibadilishwa kuwa Israeli
# nyumba yako iwe kama
Mungu kwa utele alimbariki Yuda kupitia mwanae Perezi.