# watu waliyo kuwa langoni "watu waliyo kuwa wanakutana pamoja langoni" # jenga nyumba ya Israeli "kuzaa watoto wengi waliyo kuwa taifa la Israeli" # kama Raheli na Lea Hawa walkuwa wake wawili wa Yakobo, ambaye jina lake lilibadilishwa kuwa Israeli # nyumba yako iwe kama Mungu kwa utele alimbariki Yuda kupitia mwanae Perezi.