sw_tn/rut/04/09.md

12 lines
286 B
Markdown

# kwa wazee na watu wote
Hii yaeleza watu wote waliyo kuwepo sehemu hiyo, sio kila mtu mjini
# yote yaliyo kuwa ya Elimeleki na yote yaliyo kuwa ya Kilioni na Mahaloni
Hii yaeleza mali za mume wa Naomi aliye kufa na wanae
# kutoka mkono wa Naomi
Mkono wa Naomi una wakilisha Naomi