# kwa wazee na watu wote Hii yaeleza watu wote waliyo kuwepo sehemu hiyo, sio kila mtu mjini # yote yaliyo kuwa ya Elimeleki na yote yaliyo kuwa ya Kilioni na Mahaloni Hii yaeleza mali za mume wa Naomi aliye kufa na wanae # kutoka mkono wa Naomi Mkono wa Naomi una wakilisha Naomi