sw_tn/rut/04/07.md

16 lines
229 B
Markdown

# Sasa hii ilikuwa desturi
Mwandishi wa kitabu anaelezea desturi za kubadilishana kipindi cha Ruthi
# wakati wa awali
"kipindi cha nyuma"
# kiatu
"ndala"
# jirani yake
Hii yaeleza mtu aliye kuwa anafanya naye makubaliano.