# Sasa hii ilikuwa desturi Mwandishi wa kitabu anaelezea desturi za kubadilishana kipindi cha Ruthi # wakati wa awali "kipindi cha nyuma" # kiatu "ndala" # jirani yake Hii yaeleza mtu aliye kuwa anafanya naye makubaliano.