sw_tn/rut/03/01.md

420 B

mama mkwe

Naomi ni mama wa mume wa Ruthi aliye kufa

Binti yangu

Ruthi alikuwa binti wa Naomi kwa kumuoa mwanae na kwa matendo yake baadae kwa kumjali Naomi baada ya kurudi Bethilehemu

wafanya kazi wa kike uliyo kuwa nao

"wafanya kazi wa kike umekuwa ukifanya nao kazi"

sio ndugu yetu?

Naomi labda alitumia hili swali kumkumbusha Ruthi kitu

Angalia

Hii ina maana kuwa maelezo ya fuatayo ni muhimu sana