# mama mkwe Naomi ni mama wa mume wa Ruthi aliye kufa # Binti yangu Ruthi alikuwa binti wa Naomi kwa kumuoa mwanae na kwa matendo yake baadae kwa kumjali Naomi baada ya kurudi Bethilehemu # wafanya kazi wa kike uliyo kuwa nao "wafanya kazi wa kike umekuwa ukifanya nao kazi" # sio ndugu yetu? Naomi labda alitumia hili swali kumkumbusha Ruthi kitu # Angalia Hii ina maana kuwa maelezo ya fuatayo ni muhimu sana