sw_tn/rut/02/10.md

16 lines
317 B
Markdown

# akainama mbele za Boazi, akishika kichwa chake kwenye ardhi
Haya ni matendo ya heshima na hofu.
# kwanini nimepata kibali
Ruthi anauliza swali
# mgeni
Ruthi aliweka uaminifu wake kwa Mungu wa Israeli sirini, lakini alijulikana hadharani kama Mmoabu
# Imeletwa kwangu
Hii yaweza andikwa kama kitenzi tendaji.