# akainama mbele za Boazi, akishika kichwa chake kwenye ardhi Haya ni matendo ya heshima na hofu. # kwanini nimepata kibali Ruthi anauliza swali # mgeni Ruthi aliweka uaminifu wake kwa Mungu wa Israeli sirini, lakini alijulikana hadharani kama Mmoabu # Imeletwa kwangu Hii yaweza andikwa kama kitenzi tendaji.