sw_tn/rom/16/25.md

28 lines
721 B
Markdown

# Kauli unganishi
Paulo anahitimisha kwa maombi ya baraka
# sasa
Neno hili "sasa" linaonyesha kufikia mwisho wa barua.
# kufanya msimame
"kufanya imani yenu kuimarika"
# kulingana na injili na mafundisho ya Yesu Kristo"
Habari njema ambayo nimeihubiri kuhusu Yesu Kristo
# kulingana na ufunuo wa siri iliyofichwa kwa muda mrefu
"Kwa kuwa Mungu ameifunua siri kwetu waumini ambayo alikuwa ameitunza muda mrefu"
# Lakini sasa imekwisha funuliwa na kufanywa kujulikana na maandiko ya unabii kulingana na amri ya Mungu wa milele
"Lakini sasa Mungu wa milele ameifanya ijulikane kupitia maandiko"
# kwa utii wa imani miongoni mwa mataifa yote
"ili kwamba mataifa yote yatamtii Mungu kwasababu ya imani yao kwake"