# Kauli unganishi Paulo anahitimisha kwa maombi ya baraka # sasa Neno hili "sasa" linaonyesha kufikia mwisho wa barua. # kufanya msimame "kufanya imani yenu kuimarika" # kulingana na injili na mafundisho ya Yesu Kristo" Habari njema ambayo nimeihubiri kuhusu Yesu Kristo # kulingana na ufunuo wa siri iliyofichwa kwa muda mrefu "Kwa kuwa Mungu ameifunua siri kwetu waumini ambayo alikuwa ameitunza muda mrefu" # Lakini sasa imekwisha funuliwa na kufanywa kujulikana na maandiko ya unabii kulingana na amri ya Mungu wa milele "Lakini sasa Mungu wa milele ameifanya ijulikane kupitia maandiko" # kwa utii wa imani miongoni mwa mataifa yote "ili kwamba mataifa yote yatamtii Mungu kwasababu ya imani yao kwake"