sw_tn/rom/16/23.md

12 lines
196 B
Markdown

# Gayo...Erasto...Kato
Haya ni majina ya wanaume
# mwenyeji
Inamaanisha waumini waliokutana katika nyumba yake na kuabudu.
# mtunza hazina
Huyu mtu ndiye aliyekuwa akitunza fedha ya kikundi.