# Gayo...Erasto...Kato Haya ni majina ya wanaume # mwenyeji Inamaanisha waumini waliokutana katika nyumba yake na kuabudu. # mtunza hazina Huyu mtu ndiye aliyekuwa akitunza fedha ya kikundi.