sw_tn/rom/15/15.md

8 lines
276 B
Markdown

# kipawa nilichopewa na Mungu
Kipawa hiki ni kile alichochaguliwa kuwa mtume bila kujali mateso aliyowatendea waumini kipindi cha kuamini kwake. "kipawa ambacho Mungu alinipa"
# kujitoa kwa mataifa uweze kukubaliwa
"Mungu anaweza kupendezwa na mataifa iwapo wanamtii yeye"