sw_tn/rom/15/12.md

8 lines
190 B
Markdown

# shina la Yese
Yese alikuwa baba wa kimwili wa Mfalme Daudi. "uzao wa Yese"
# Watu wa Mataifa watakuwa na ujasiri ndani yake
"Yeye/yake" hapa inamaanisha uzao wa Yese, ambaye ni Masihi.