sw_tn/rom/15/05.md

16 lines
400 B
Markdown

# Kauli Unganishi
Paulo anawatia moyo waumini kukumbuka kwamba wote waumini mataifa na wayahudi ambao wameamini wamefanywa mmoja katika Kristo.
# na...Mungu...akupatie
"Omba kwamba...Mungu atakupa.
# "kuwa na nia sawa kwa kila mmoja
"kuwa kwenye makubaliano na kila mmoja" au " kuwa na muunganiko"
# Kumsifu kwa kinywa kimoja
"kusifu kwa pamoja kama vile ni kinywa kimoja kilikuwa kinaongea"