# Kauli Unganishi Paulo anawatia moyo waumini kukumbuka kwamba wote waumini mataifa na wayahudi ambao wameamini wamefanywa mmoja katika Kristo. # na...Mungu...akupatie "Omba kwamba...Mungu atakupa. # "kuwa na nia sawa kwa kila mmoja "kuwa kwenye makubaliano na kila mmoja" au " kuwa na muunganiko" # Kumsifu kwa kinywa kimoja "kusifu kwa pamoja kama vile ni kinywa kimoja kilikuwa kinaongea"