sw_tn/rom/14/18.md

8 lines
229 B
Markdown

# Amethibitishwa na watu
"Watu wata mthibitisha" au " watu watamuheshimu"
# Tutafute mambo ya amani na mambo ambayo yatawajenga kila mtu na wenzake.
"Tutafute kuishi kwa amani na kusaidia mmoja na mwingine kukua katika imani"