# Amethibitishwa na watu "Watu wata mthibitisha" au " watu watamuheshimu" # Tutafute mambo ya amani na mambo ambayo yatawajenga kila mtu na wenzake. "Tutafute kuishi kwa amani na kusaidia mmoja na mwingine kukua katika imani"