sw_tn/rom/10/20.md

28 lines
770 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla:
Hapa maneno "mimi" na "yangu" urejea kwa Mungu
# Na Isaya ana ujasiri wa kutosha kusema
Hii ina maanisha nabii Isaya aliandika kile Mungu alikwisha sema.
# Nilipatikana na wale ambao hawakunitafuta mimi
Pia, manabii mara nyingi huongelea mambo yajao kama vile yamekwisha tokea. Hii inasisitiza kwamba unabii bila shaka utatimia. "Ijapokuwa watu wa Mataifa hawatanitafuta, watanipata"
# Nilionekana
"Nilifanya mwenyewe kuonekana"
# anasema
"Yeye" ni Mungu, anaongea kupitia Isaya
# Kwa siku yote
Kifungu cha maneno haya kinatumika kusisitiza mwendelezo wa juhudi za Mungu. "mwendelezo"
# Nilinyosha mikono yangu watu wasio na utiifu na wabishi
"Nilijaribu kukukaribisha na kukusaidia, lakini ulikataa msaada wangu na kuendelea kutotii"