sw_tn/rom/10/01.md

16 lines
387 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anaendelea na wazo lake kwa waisraeli kuamini lakini akisisitiza kwamba wale walio wayahudi na yoyote yule anaweza kuokolewa kwa imani katika Yesu.
# Ndugu
Hapa ina maanisha wakristo wenzetu, ikijumuisha wote wanuame na wanawake.
# shauku ya moyo wangu
"shauku yangu kuu"
# ni kwa ajili yao, kwa ajili ya wokovu wao
"ni Mungu atakaye waokoa wayahudi"