forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
893 B
Markdown
20 lines
893 B
Markdown
# Naongea kama mwanadamu
|
|
|
|
Paulo anaeleza "dhambi" na "utiifu" kama "utumwa". "Ninazungumza kuhusu utumwa kuelezea dhambi na utiifu."
|
|
|
|
# kwa sababu ya udhaifu wa mwili wako
|
|
|
|
Mara nyingi Paulo utumia neno "mwili" kama kinyume cha "roho". "kwa sababu hamuelewi kwa kina mambo ya kiroho."
|
|
|
|
# ilitolewa sehemu ya mwili wenu kama watumwa kwa uchafu na uovu
|
|
|
|
Hapa, "sehemu ya mwili" urejea kwa mtu kamili. "kujitoa kwenu kama watumwa kwa kila kiovu na kuto mpendeza Mungu"
|
|
|
|
# toeni sehemu ya mwili wenu kama watumwa wa haki kwa ajili ya utakaso
|
|
|
|
"jitoeni kama watumwa kwa kile kilicho sahihi mbele zake Mungu ili kwamba awatenge na awape nguvu kumtumkia yeye"
|
|
|
|
# Kwa wakati huo, ni tunda lipi ulipata kwa mambo ambayo sasa unayaonea aibu?
|
|
|
|
Paulo anatumia swali kusisitiza kwamba kutenda dhambi hakuleti kitu chochote kizuri. "Hakupata chochote kwa kufanya mambo hayo ambayo kwa sasa yanatia aibu."
|