sw_tn/rom/04/09.md

12 lines
344 B
Markdown

# Kisha ni baraka hii alitamka tu juu ya wote waliotahiriwa, au pia juu ya wale wasiotahiriwa?
'Je, Mungu awabariki tu wale waliotahiriwa, au pia wale wale ambao si waliotahiriwa?'
# tunasema
Paulo akihutubia waumini wote Wayahudi na wa Mataifa.
# Imani ilihesabiwa kwa Abraham kwa haki
"Mungu alichukuliwa imani ya Ibrahimu kuwa ni haki"