sw_tn/rom/01/22.md

20 lines
414 B
Markdown

# Wanadai kuwa na hekima, lakini wakawa wajinga.
"Walipokuwa wanadai kuwa wana hekima, wakawa wajinga"
# Wao...wao
Watu
# Wakabadilisha utukufu usioharibika
"wakauza ukweli kuwa Mungu ni mtukufu na hatakufa" au "wakaacha kuamini kuwa Mungu ni mtukufu na hatakufa"
# kwa kufananisha na sura ya
"na badala yake walichagua kuabudu sanamu waliotengenezwa kufanana na"
# mtu anayeharibika
"mtu ambaye atakufa"