sw_tn/rom/01/18.md

36 lines
661 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Paulo anadhihirisha hasira kuu ya Mungu dhidi ya wanaotenda dhambi.
# Kwa kuwa ghadhabu yake
Paulo anaelezea kwa nini watu wanatakiwa kuisikia injili.
# Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa
"Mungu amedhihirisha hasira yake"
# Dhidi
"juu ya"
# uasi wote na udhalimu wa watu
"uasi wote na mambo ya udhalimu ambayo watu wanayatenda"
# kuuficha ukweli
"walificha taarifa za kweli kuhusu Mungu"
# ambayo inajulikana kuhusu Mungu inaonekana kwao
"wanaweza kujua kuhusu Mungu kwa sababu ya wanayoyaona"
# Kwa kuwa Mungu
Paulo anawaonyesha kwa nini watu wanajua mambo kuhusu Mungu.
# Mungu amewaangazia
"Mungu ameyaonyesha hayo kwao"