# Sentensi unganishi: Paulo anadhihirisha hasira kuu ya Mungu dhidi ya wanaotenda dhambi. # Kwa kuwa ghadhabu yake Paulo anaelezea kwa nini watu wanatakiwa kuisikia injili. # Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa "Mungu amedhihirisha hasira yake" # Dhidi "juu ya" # uasi wote na udhalimu wa watu "uasi wote na mambo ya udhalimu ambayo watu wanayatenda" # kuuficha ukweli "walificha taarifa za kweli kuhusu Mungu" # ambayo inajulikana kuhusu Mungu inaonekana kwao "wanaweza kujua kuhusu Mungu kwa sababu ya wanayoyaona" # Kwa kuwa Mungu Paulo anawaonyesha kwa nini watu wanajua mambo kuhusu Mungu. # Mungu amewaangazia "Mungu ameyaonyesha hayo kwao"