forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.0 KiB
Markdown
32 lines
1.0 KiB
Markdown
# Kauli Unganishi:
|
|
|
|
Malaika wa saba amwaga bakuli la saba la ghadhabu ya Mungu.
|
|
|
|
# alimwaga kutoka kwenye bakuli lake
|
|
|
|
Neno "bakuli" linamaanisha kile kilichomo. "kumwagwa divai kutoka katika bakuli lake" au " kumwaga ghadhabu ya Mungu kutoka katika bakuli lake"
|
|
|
|
# Kisha sauti kuu ikasikika kutoka hekaluni na kutoka kwenye kiti cha enzi
|
|
|
|
Hii inamaanisha mtu aliyekuwa kwenye kiti cha enzi au karibu na kiti cha enzi alinena kwa sauti ku. Haiko wazi ni nani anayezungumza.
|
|
|
|
# miale ya mwanga wa radi
|
|
|
|
Mwanga unaotokea wakati radi ikipiga.
|
|
|
|
# ngurumo, vishindo vya radi
|
|
|
|
Hii ni miungurumo ya sauti ambayo radi husababisha.
|
|
|
|
# Mji mkuu uligawanyika
|
|
|
|
"Tetemeko liliugawanya mji mkuu"
|
|
|
|
# Kisha Mungu akakumbuka
|
|
|
|
"Kisha Mungu akawazia" au "Kisha Mungu akaanza kuwa makini na." Hii haimaanishi kuwa Mungu alikumbuka jambo alilosahau.
|
|
|
|
# akaupa mji huo kikombe kilichokuwa kimejaa divai kutoka kwenye ghadhabu yake iliyo kali
|
|
|
|
Divai ni isharaya ya ghadhabu yake. Kuwafanya watu kuinywa ni ishara ya kuwaadhibu. "aliwafanya watu wa mji huo kunywa divai inayoashiria ghadhabu yake"
|