sw_tn/rev/13/05.md

20 lines
553 B
Markdown

# Mnyama akapewa ... Aliruhusiwa
"Mungu alimpa mnyama ... Mungu alimruhusu mnyama"
# Mnyama akapewa mdomo ili azungumze maneno ya kujisifu na matusi
Kupewa mdomo inamaanisha kuruhusiwa kuzungumza. "Mnyama aliruhusiwa kuzungumza maneno ya majivuno na matusi"
# miezi arobaini na miwili
mieezi miwili - "miezi 42"
# kuongea matusi dhidi ya Mungu
"kusema maneno ya kejeli kuhusu Mungu"
# akalitukana jina lake, eneo alililokuwa akiishi na wale wanaoishi mbinguni
Haya maneno yanaonesha jinsi mnyama alivyozungumza maneno ya matusi dhidi ya Mungu.