sw_tn/rev/12/10.md

32 lines
1015 B
Markdown

# "nikasikia"
anayezungumza ni Yohana.
# nikasikia sauti kubwa kutoka mbinguni
Neno "sauti" inaonesha mtu anayezungumza. "Nikasikia mtu akinena kwa sauti toka mbinguni"
# sasa wokovu umekuja, nguvu
Mungu kuwaokoa watu kwa nguvu zake inazungumziwa kana kwamba wokovu wake na nguvu zake ni vitu vinavyoweza kuja. "Sasa Mungu amewaokoa watu wake kwa nguvu zake"
# umekuja
"kuanza kuwepo kabisa" au "kutokea" au "kuwa kweli." Sio kwamba vitu hivi havikuwepo kabala, lakini sasa Mungu anavidhihirisha kwa sababu wakati wake kutokea "umekuja."
# ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake
Utawala wa Mungu na mamlaka ya Kristo yanazungumziwa kama vile vinakuja. "Mungu atawala kama mfalme, na Kristo wake anamamlaka yote"
# mshitaki wa ndugu zetu ametupwa chini
Huyu ni joka aliyetupwa chini katika 12:10
# ndugu zetu
Waumini wenzao wanazungumziwa kana kwamba walikuwa ni ndugu. "waumini wenzetu"
# mchana na usiku
Hizi sehemu mbili za siku zinatumika pamoja kumaanisha "wakati wote" au "bila kukoma"