sw_tn/rev/11/08.md

20 lines
483 B
Markdown

# Miili yao
Hii inamaanisha miili ya mashahidi wawili.
# katika mtaa wa mji mkuu
Mji ulikua na zaidi ya mtaa mmoja. Hii ilikuwa sehemu ya wazi ambapo watu waliweza kuwaona. "kwenye mtaa mojawapo wa mji mkuu" au "kwenye mtaa mkuu katika mji mkuu"
# siku tatu na nusu
"Siku 3 kamili na nusu moja ya siku" au "siku 3.5" au "siku 3 1/2"
# Bwana wao
Walimtumikia Bwana na kama yeye, watakufa katika huo mji.
# hawatatoa kibali kuwekwa katika kaburi
Hii ilikuwa ishara ya dharau.