sw_tn/rev/08/intro.md

1.1 KiB

Ufunuo 08 Maelezo ya jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Mihuri saba

Kuna kutoelewana kuhusu jinsi mihuri hii imeambatanishwa kwenye kitabu.Ingekuwa ya kueleweka iwapo iliwekwa upande upande lakini kitabu kingeonyesha kilichomo baada ya muhuri wa mwisho kuvunjwa. Hivi sivyo sura hii inafafanua kitabu kwa sababu kila muhuri unafunua hukumu fulani. Inaaminika pia kwamba kutokuwepo kwa muhuri wa saba kunafunua baragumu saba za hukumu.(Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/judge]] na [[rc:///ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])

Mifano muhimu ya usemi

Sauti ya kupita

Sauti ya kupita imetumika mara nyingi katika sura hii kuficha utambulisho wa anayefanya hilo tendo. Itakuwa ngumu kuakilisha hili iwapo lugha ya mtafsiri haina sauti ya kupita. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-activepassive)

Mifano

Mwandishi anatumia mifano nyingi. Hii ni kwa sababu anajaribu kufafanua mifano anayoona kwenye maono. Kwa hivyo analinganisha mifano katika maono haya na vitu vya kawaida. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-simile)

<< | >>