forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
657 B
Markdown
20 lines
657 B
Markdown
# na nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, ikimulika kama kurunzi
|
|
|
|
"na nyota kubwa uliowaka kama tochi ilianguka toka mbinguni." Moto wa ile nyota kubwa ulifanana na moto wa tochi
|
|
|
|
# tochi
|
|
|
|
kijiti kilichowashwa moto upande moja ilikutoa mwanga
|
|
|
|
# Jina la nyota ni Pakanga
|
|
|
|
Pakanga ni kichaka kilicho na ladha chungu. watu walitumia kutengeneza dawa na pia waliamini kuwa ilikuwa na sumu. "Jina la nyota ni Uchungu" au "Jina la nyota ni Dawa Chungu"
|
|
|
|
# ikawa Pakanga
|
|
|
|
Ladha chungu ya maji inazungumziwa ka vile ilkuwa Pakanga. "ikawa chungu kama pakanga" au "ikawa chungu"
|
|
|
|
# wakafa kutokana na maji yaliyokuwa machungu
|
|
|
|
"wakafa walipokunywa maji machungu"
|