sw_tn/rev/06/03.md

20 lines
525 B
Markdown

# muhuri wa pili
"muhuri unaofuata" au "muhuri namba mbili"
# mwenye uhai wa pili
"mwenye uhai afuataye" au "mwenye uhai namba mbili"
# mwekundu kama moto
"alikua mwekundu kama moto" au "alikua mwekundu wa kungaa"
# Aliye mpanda alipewa ruhusa
Hii inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Mungu alimpa ruhusa aliyempanda" au "aliyempanda alipokea ruhusa"
# Huyu aliye mpanda alipewa upanga mkubwa
Hii inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Huyu aliyempanda alipokea upanga mkubwa" au "Mungu alimpa upanga mkubwa yule aliye mpanda."