# muhuri wa pili "muhuri unaofuata" au "muhuri namba mbili" # mwenye uhai wa pili "mwenye uhai afuataye" au "mwenye uhai namba mbili" # mwekundu kama moto "alikua mwekundu kama moto" au "alikua mwekundu wa kungaa" # Aliye mpanda alipewa ruhusa Hii inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Mungu alimpa ruhusa aliyempanda" au "aliyempanda alipokea ruhusa" # Huyu aliye mpanda alipewa upanga mkubwa Hii inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Huyu aliyempanda alipokea upanga mkubwa" au "Mungu alimpa upanga mkubwa yule aliye mpanda."