sw_tn/rev/05/01.md

28 lines
738 B
Markdown

# Kauli unganishi:
Yohana anaendelea kueleza alichokiona katika maono ya kiti cha enzi cha Mungu.
# Kisha nikaona
"Baada ya kuona hivyo vitu ,nikaona"
# yule aliyekuwa amekaa katika kiti cha enzi
Hii ni sawa sawa na "moja" kama 4:1
# gombo lililoandikwa mbele na nyuma
"gombo linye maandishi mbele na nyuma"
# lilikuwa limetiwa mihuri saba
"lilikuwa limefungwa na mihuri saba"
# Nani astahiliye kulifungua gombo na kuzivunja mihuri yake?
Mtu huyu atahitaji kuivunja mihuri ili kuifungua gombo. "Nani anayestahili kuvunja mihuri na kufungua gombo?"
# Nani astahiliye kulifungua gombo na kuzivunja mihuri yake?
Hii inaweza kutafsiriwa kama amri. "Acha yule ambaye anastahili kufanya hivi aje avunje mihuri na kuifungua gombo!"