sw_tn/rev/04/04.md

20 lines
525 B
Markdown

# wazee ishirini na wanne
wazee wanne -"wazee 24"
# taji za dhahabu
Hizi zilikua kama mashada ya matawi ya mizeituni na majani ya laurusi zilizopondwa katika dhahabu. Taji za naamna hii za majani walipewa wanariadha washindi vichwani mwao.
# miale ya radi
Mwanga unaotokea wakati radi ikipiga.
# muungurumo ya radi
Hii ni miungurumo ya sauti ambayo radi husababisha.
# roho saba
Namba saba ni alama ya ukamilifu na utimilifu. "Roho saba" humaanisha mojawapo kati ya Roho ya Mungu au roho saba zinazomtumikia Mungu.