# wazee ishirini na wanne wazee wanne -"wazee 24" # taji za dhahabu Hizi zilikua kama mashada ya matawi ya mizeituni na majani ya laurusi zilizopondwa katika dhahabu. Taji za naamna hii za majani walipewa wanariadha washindi vichwani mwao. # miale ya radi Mwanga unaotokea wakati radi ikipiga. # muungurumo ya radi Hii ni miungurumo ya sauti ambayo radi husababisha. # roho saba Namba saba ni alama ya ukamilifu na utimilifu. "Roho saba" humaanisha mojawapo kati ya Roho ya Mungu au roho saba zinazomtumikia Mungu.